Isaya 26:5 - Swahili Revised Union Version5 Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hadi chini, auleta hadi mavumbini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Amewaporomosha waliokaa pande za juu, mji maarufu ameuangusha mpaka chini, ameutupa mpaka mavumbini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hadi chini, auleta hadi mavumbini. Tazama sura |