Isaya 26:4 - Swahili Revised Union Version4 Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mtumaini Mwenyezi Mungu milele, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, ni Mwamba wa milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mtumaini bwana milele, kwa kuwa bwana, bwana, ni Mwamba wa milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele. Tazama sura |