Isaya 21:6 - Swahili Revised Union Version6 Maana Bwana ameniambia hivi, Nenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Maana Bwana ameniambia hivi, Nenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze. Tazama sura |