Isaya 21:4 - Swahili Revised Union Version4 Moyo wangu unapigapiga, utisho umenitaabisha, gizagiza la jioni nilipendalo limegeuka likanitetemesha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Moyo wangu unababaika, woga unanifanya nitetemeke, gizagiza la jioni nililolitamani sana, limekuwa hofu kuu kwangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Moyo wangu unababaika, woga unanifanya nitetemeke, gizagiza la jioni nililolitamani sana, limekuwa hofu kuu kwangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Moyo wangu unapigapiga, utisho umenitaabisha, gizagiza la jioni nilipendalo limegeuka likanitetemesha. Tazama sura |