Isaya 2:21 - Swahili Revised Union Version21 ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Watakimbilia kwenye mapango miambani na kwenye nyufa za miamba kutokana na utisho wa Mwenyezi Mungu na utukufu wa enzi yake, ainukapo kuitikisa dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Watakimbilia kwenye mapango miambani na kwenye nyufa za miamba kutokana na utisho wa bwana na utukufu wa enzi yake, ainukapo kuitikisa dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia. Tazama sura |