Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 2:17 - Swahili Revised Union Version

17 Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, Mwenyezi Mungu peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Isaya 2:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.

Tulieni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.

BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.

Nami nitaadhibu ulimwengu kwa sababu ya ubaya wake, na wenye dhambi kwa sababu ya hatia yao; nami nitaikomesha fahari yao wenye kiburi; nami nitayashusha chini majivuno yao walio wakali;

Macho ya mwanadamu yaliyoinuka yatashushwa chini, na kiburi cha mwanadamu kitainamishwa, naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.

na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo.

Nazo sanamu zitatoweka kabisa.

Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.

bali BWANA wa majeshi ametukuzwa katika hukumu, na Mungu aliye Mtakatifu ametakaswa katika haki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo