Isaya 2:16 - Swahili Revised Union Version16 na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 kwa kila meli ya biashara, na kila mashua ya kifahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 kwa kila meli ya biashara, na kila chombo cha baharini cha fahari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo. Tazama sura |