Isaya 19:10 - Swahili Revised Union Version10 Na nguzo za nchi zitavunjika vipande vipande, wote wafanyao kazi ya mshahara watahuzunika nafsini mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wafuma nguo watafedheheshwa, na vibarua watahuzunika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wafuma nguo watafedheheshwa, na vibarua watahuzunika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wafuma nguo watafedheheshwa, na vibarua watahuzunika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, nao vibarua wataugua moyoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, nao vibarua wataugua moyoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na nguzo za nchi zitavunjika vipande vipande, wote wafanyao kazi ya mshahara watahuzunika nafsini mwao. Tazama sura |
BWANA akamwambia Musa, Mwambie Haruni, Shika fimbo yako, kaunyoshe mkono wako juu ya maji ya Misri, juu ya mito yao, juu ya vijito vyao, na juu ya maziwa ya maji yao, na juu ya visima vyao vyote vya maji, ili yageuke kuwa damu, nako kutakuwa na damu katika nchi yote ya Misri, katika vyombo vya mti, na katika vyombo vya jiwe.