Isaya 13:19 - Swahili Revised Union Version19 Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Babuloni johari ya falme zote na umaarufu wa kiburi cha Wakaldayo utakuwa kama Sodoma na Gomora, wakati Mungu alipoiangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Babuloni johari ya falme zote na umaarufu wa kiburi cha Wakaldayo utakuwa kama Sodoma na Gomora, wakati Mungu alipoiangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Babuloni johari ya falme zote na umaarufu wa kiburi cha Wakaldayo utakuwa kama Sodoma na Gomora, wakati Mungu alipoiangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Babeli, johari ya falme, utukufu wa kiburi cha Wababeli, utaangushwa na Mungu kama Sodoma na Gomora. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Babeli, johari ya falme, utukufu wa kiburi cha Wababeli, itaangushwa na Mungu kama Sodoma na Gomora. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza. Tazama sura |