Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 10:11 - Swahili Revised Union Version

11 je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 je, nisiutendee Yerusalemu na sanamu zake kama nilivyoutendea Samaria na vinyago vyake?’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 je, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zake kama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?

Tazama sura Nakili




Isaya 10:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Yuko mungu mmoja wa mataifa aliyewaokoa watu wake wakati wowote na mkono wa mfalme wa Ashuru?


Akaitwaa miji yenye maboma iliyokuwa ya Yuda, akaja Yerusalemu.


Tena nchi yao imejaa sanamu; huabudu kazi ya mikono yao, vitu vilivyotengenezwa kwa vidole vyao wenyewe.


Ee BWANA, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametumiliki; lakini kwa msaada wako peke yako tutalitaja jina lako.


Jihadharini, Hezekia asije akawadanganya, akisema, BWANA atatuokoa. Je! Kati ya miungu ya mataifa, kuna yeyote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka kwa mkono wa mfalme wa Ashuru?


na kuwatupa miungu yao motoni; kwa maana hao hawakuwa miungu, bali kazi ya mikono ya wanadamu; walikuwa miti na mawe, ndiyo sababu wakawaharibu.


Na dada yako mkubwa ni Samaria, akaaye mkono wako wa kushoto, yeye na binti zake; na dada yako mdogo, akaaye mkono wako wa kulia, ni Sodoma na binti zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo