Isaya 10:10 - Swahili Revised Union Version10 Kama vile mkono wangu ulivyofikia falme za sanamu, ambazo sanamu zao za kuchongwa zilikuwa bora kuliko sanamu za Yerusalemu na za Samaria; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kama nimefaulu kuunyosha mkono wangu dhidi ya falme zenye sanamu za miungu kubwa kuliko sanamu za Yerusalemu na Samaria; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kama nimefaulu kuunyosha mkono wangu dhidi ya falme zenye sanamu za miungu kubwa kuliko sanamu za Yerusalemu na Samaria; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kama nimefaulu kuunyosha mkono wangu dhidi ya falme zenye sanamu za miungu kubwa kuliko sanamu za Yerusalemu na Samaria; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kama vile mkono wangu ulivyofikia falme za sanamu, ambazo sanamu zao za kuchongwa zilikuwa bora kuliko sanamu za Yerusalemu na za Samaria; Tazama sura |