Isaya 1:25 - Swahili Revised Union Version25 nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote; Tazama sura |