Isaya 1:12 - Swahili Revised Union Version12 Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mnapokuja mbele yangu kuniabudu nani aliyewataka mkanyagekanyage nyua zangu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mnapokuja mbele yangu kuniabudu nani aliyewataka mkanyagekanyage nyua zangu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mnapokuja mbele yangu kuniabudu nani aliyewataka mkanyagekanyage nyua zangu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mnapokuja kujihudhurisha mbele zangu, ni nani aliyewataka ninyi mfanye hivyo, huku kuzikanyaga nyua zangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mnapokuja kujihudhurisha mbele zangu, ni nani aliyewataka ninyi mfanye hivyo, huku kuzikanyaga nyua zangu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu? Tazama sura |