Hosea 8:10 - Swahili Revised Union Version10 Naam, ijapokuwa waajiri kati ya mataifa, sasa nitawakusanya; nao wanaanza kupunguka kwa sababu ya mzigo wa mfalme wa wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wametafuta wapenzi kati ya watu wa mataifa, lakini mimi nitawakusanya mara. Na hapo watasikia uzito wa mzigo, ambao mfalme wa wakuu aliwatwika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wametafuta wapenzi kati ya watu wa mataifa, lakini mimi nitawakusanya mara. Na hapo watasikia uzito wa mzigo, ambao mfalme wa wakuu aliwatwika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wametafuta wapenzi kati ya watu wa mataifa, lakini mimi nitawakusanya mara. Na hapo watasikia uzito wa mzigo, ambao mfalme wa wakuu aliwatwika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ingawa wamejiuza wenyewe miongoni mwa mataifa, sasa nitawakusanya pamoja. Wataanza kudhoofika chini ya uonevu wa mfalme mwenye nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ingawa wamejiuza wenyewe miongoni mwa mataifa, sasa nitawakusanya pamoja. Wataanza kudhoofika chini ya uonevu wa mfalme mwenye nguvu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Naam, ijapokuwa waajiri kati ya mataifa, sasa nitawakusanya; nao wanaanza kupunguka kwa sababu ya mzigo wa mfalme wa wakuu. Tazama sura |