Hosea 7:8 - Swahili Revised Union Version8 Efraimu ajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate usiogeuzwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Efraimu amechanganyika na watu wa mataifa. Anaonekana kama mkate ambao haukugeuzwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Efraimu amechanganyika na watu wa mataifa. Anaonekana kama mkate ambao haukugeuzwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Efraimu amechanganyika na watu wa mataifa. Anaonekana kama mkate ambao haukugeuzwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Efraimu anajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate ambao haukuiva. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Efraimu anajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate ambao haukuiva. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Efraimu ajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate usiogeuzwa. Tazama sura |