Hosea 5:12 - Swahili Revised Union Version12 Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efraimu, kama donda baya kwa watu wa Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda. Tazama sura |
Kwa hiyo kama vile muali wa moto uteketezavyo mabua makavu, na kama manyasi makavu yaangukavyo katika muali wa moto; kadhalika shina lao litakuwa kama ubovu, na ua lao litapeperushwa juu kama mavumbi; kwa sababu wameikataa sheria ya BWANA wa majeshi, na kulidharau neno lake aliye Mtakatifu wa Israeli.