Hosea 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wanajishibisha kwa sadaka za watu wangu wenye dhambi. Wana hamu sana ya kuwaona wametenda dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wanajilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hujilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao. Tazama sura |