Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hosea 4:4 - Swahili Revised Union Version

4 Lakini asishindane mtu, wala mtu asikemee; maana watu wako ni kama wao washindanao na kuhani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “Lakini mtu yeyote na asilete shtaka, mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, kwa maana watu wako ni kama wale waletao mashtaka dhidi ya kuhani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, kwa maana watu wako ni kama wale waletao mashtaka dhidi ya kuhani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Lakini asishindane mtu, wala mtu asikemee; maana watu wako ni kama wao washindanao na kuhani.

Tazama sura Nakili




Hosea 4:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo ndipo waliposema, Njooni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njooni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.


nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi.


Efraimu amejiungamanisha na sanamu; mwache.


Wao humchukia yeye akemeaye langoni, nao humzira anenaye maneno ya adili.


Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.


Na mjomba wa mtu atakapomwinua, yaani, yeye amchomaye moto, ili atoe mifupa yake nyumbani, naye atakapomwambia yeye aliye katika pande za ndani za nyumba, Je! Yuko mtu yeyote pamoja nawe? Naye atakaposema, La, hapana; ndipo atasema, Nyamaza kimya; maana hatuna ruhusa kulitaja jina la BWANA.


Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia BWANA, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo