Hosea 13:6 - Swahili Revised Union Version6 Kwa kadiri ya malisho yao, kwa kadiri iyo hiyo walishiba; walishiba na moyo wao ukatukuka; ndiyo sababu wamenisahau mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini mlipokwisha kula na kushiba, mlianza kuwa na kiburi, mpaka mkanisahau. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini mlipokwisha kula na kushiba, mlianza kuwa na kiburi, mpaka mkanisahau. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini mlipokwisha kula na kushiba, mlianza kuwa na kiburi, mpaka mkanisahau. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nilipowalisha, walishiba, waliposhiba, wakajivuna, kisha wakanisahau mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nilipowalisha, walishiba, waliposhiba, wakajivuna, kisha wakanisahau mimi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kwa kadiri ya malisho yao, kwa kadiri hiyo hiyo walishiba; walishiba na moyo wao ukatukuka; ndiyo sababu wamenisahau mimi. Tazama sura |