Hosea 12:13 - Swahili Revised Union Version13 Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri. na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kupitia kwa nabii alimtunza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 bwana alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kwa njia ya nabii alimtunza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa. Tazama sura |