Hosea 12:10 - Swahili Revised Union Version10 Tena nimenena na hao manabii, nami nimeongeza maono, na kwa utumishi wa manabii nimetumia mifano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi na kusema mifano kupitia wao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi na kusema mifano kupitia wao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Tena nimenena na hao manabii, nami nimeongeza maono, na kwa utumishi wa manabii nimetumia mifano. Tazama sura |