Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 9:4 - Swahili Revised Union Version

4 Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli kwamba waadhimishe sikukuu hiyo ya Pasaka;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kwa hiyo, Mose akawaambia watu kwamba wanapaswa kuiadhimisha sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kwa hiyo, Mose akawaambia watu kwamba wanapaswa kuiadhimisha sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kwa hiyo, Mose akawaambia watu kwamba wanapaswa kuiadhimisha sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hivyo Musa akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hivyo Musa akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli kwamba waadhimishe sikukuu hiyo ya Pasaka;

Tazama sura Nakili

Hesabu 9:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje kondoo wa Pasaka.

Siku ya kumi na nne ya mwezi huu, wakati wa jioni, mtaiadhimisha kwa wakati wake ulioagizwa; kwa amri zake zote, na kama hukumu zake zote zilivyo, ndivyo mtakavyoisherehekea.

Nao wakaiadhmisha Pasaka katika mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, katika bara ya Sinai vile vile kama hayo yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo