Hesabu 7:87 - Swahili Revised Union Version87 ng'ombe wote waliokuwa wa sadaka ya kuteketezwa walikuwa ng'ombe dume kumi na wawili, na hao kondoo dume walikuwa kumi na wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja walikuwa kumi na wawili, pamoja na sadaka yao ya unga; na mbuzi dume wa sadaka ya dhambi ni kumi na wawili; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema87 Jumla ya wanyama wote wa sadaka ya kuteketezwa ilikuwa mafahali kumi na wawili, kondoo madume kumi na wawili, na wanakondoo madume wa mwaka mmoja kumi na wawili, pamoja na sadaka ya nafaka na beberu kumi na wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND87 Jumla ya wanyama wote wa sadaka ya kuteketezwa ilikuwa mafahali kumi na wawili, kondoo madume kumi na wawili, na wanakondoo madume wa mwaka mmoja kumi na wawili, pamoja na sadaka ya nafaka na beberu kumi na wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza87 Jumla ya wanyama wote wa sadaka ya kuteketezwa ilikuwa mafahali kumi na wawili, kondoo madume kumi na wawili, na wanakondoo madume wa mwaka mmoja kumi na wawili, pamoja na sadaka ya nafaka na beberu kumi na wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu87 Jumla ya wanyama waliotolewa kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa walikuwa fahali kumi na wawili wachanga, kondoo dume kumi na wawili, na wana-kondoo dume kumi na wawili wa mwaka mmoja, pamoja na sadaka zao za nafaka. Beberu kumi na wawili walitolewa kwa ajili ya sadaka za dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu87 Jumla ya wanyama waliotolewa kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa walikuwa fahali kumi na wawili wachanga, kondoo dume kumi na wawili na wana-kondoo dume kumi na wawili wa mwaka mmoja, pamoja na sadaka zao za nafaka. Mbuzi waume kumi na wawili walitolewa kwa ajili ya sadaka za dhambi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI87 ng'ombe wote waliokuwa wa sadaka ya kuteketezwa walikuwa ng'ombe dume kumi na wawili, na hao kondoo dume walikuwa kumi na wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja walikuwa kumi na wawili, pamoja na sadaka yao ya unga; na mbuzi dume wa sadaka ya dhambi ni kumi na wawili; Tazama sura |
na ng'ombe wote waliokuwa wa dhabihu ya sadaka za amani ni ng'ombe dume ishirini na wanne, na hao kondoo dume walikuwa ni sitini, na hao mbuzi dume walikuwa ni sitini, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja walikuwa sitini. Hayo ndiyo matoleo yaliyotolewa kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu, baada ya hiyo madhabahu kutiwa mafuta.