Hesabu 6:4 - Swahili Revised Union Version4 Siku zote za kujitenga kwake asile kitu chochote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula chochote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula chochote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Siku zote za kujitenga kwake asile kitu chochote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda. Tazama sura |