Hesabu 6:17 - Swahili Revised Union Version17 naye atamsongeza huyo kondoo dume kuwa dhabihu ya sadaka za amani kwa BWANA, pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu; kisha kuhani atasongeza sadaka ya unga nayo, na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kuwa sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu, pamoja na sadaka yake ya nafaka, na ya kinywaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kama sadaka ya amani kwa bwana, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka ya kinywaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 naye atamsongeza huyo kondoo dume kuwa dhabihu ya sadaka za amani kwa BWANA, pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu; kisha kuhani atasongeza sadaka ya unga nayo, na sadaka yake ya kinywaji. Tazama sura |