Hesabu 6:16 - Swahili Revised Union Version16 Na kuhani atavisongeza mbele za BWANA, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za Mwenyezi Mungu na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za bwana na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Na kuhani atavisongeza mbele za BWANA, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa; Tazama sura |