Hesabu 6:11 - Swahili Revised Union Version11 naye kuhani atasongeza mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wa pili kuwa sadaka ya kuteketezwa, naye atafanya upatanisho kwa ajili yake, kwa sababu aliingia kosani kwa ajili ya maiti, naye atatakasa kichwa chake siku iyo hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kuhani atamtoa mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi na mwingine kuwa sadaka ya kuteketezwa, naye atamfanyia upatanisho, kwa sababu alitenda dhambi kwa ajili ya maiti. Siku hiyohiyo, atakiweka wakfu kichwa chake Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kuhani atamtoa mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi na mwingine kuwa sadaka ya kuteketezwa, naye atamfanyia upatanisho, kwa sababu alitenda dhambi kwa ajili ya maiti. Siku hiyohiyo, atakiweka wakfu kichwa chake Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kuhani atamtoa mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi na mwingine kuwa sadaka ya kuteketezwa, naye atamfanyia upatanisho, kwa sababu alitenda dhambi kwa ajili ya maiti. Siku hiyohiyo, atakiweka wakfu kichwa chake Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kuhani atatoa mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na mwingine kuwa sadaka ya kuteketezwa ili kufanya upatanisho kwa ajili ya Mnadhiri kwa sababu ametenda dhambi kwa kuwa mbele ya maiti. Siku hiyo hiyo atakiweka wakfu tena kichwa chake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kuhani atatoa mmoja kama sadaka ya dhambi, na mwingine kama sadaka ya kuteketezwa ili kufanya upatanisho kwa ajili yake kwa sababu ametenda dhambi kwa kuwepo mbele ya maiti. Siku iyo hiyo atakiweka wakfu kichwa chake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 naye kuhani atasongeza mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wa pili kuwa sadaka ya kuteketezwa, naye atafanya upatanisho kwa ajili yake, kwa sababu aliingia kosani kwa ajili ya maiti, naye atatakasa kichwa chake siku hiyo hiyo. Tazama sura |