Hesabu 5:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za BWANA; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za BWANA; Tazama sura |