Hesabu 35:3 - Swahili Revised Union Version3 Hiyo miji watakuwa nayo ili wakae humo, na malisho watakuwa nayo kwa wanyama wao wa mifugo, na kwa mali zao, na kwa wanyama wao wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng’ombe wao, mbuzi na kondoo wao, na mifugo yao mingine yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng’ombe zao, mbuzi, kondoo na mifugo yao mingine yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Hiyo miji watakuwa nayo ili wakae humo, na malisho watakuwa nayo kwa wanyama wao wa kufugwa, na kwa mali zao, na kwa wanyama wao wote. Tazama sura |