Hesabu 34:9 - Swahili Revised Union Version9 tena mpaka utatokea hadi Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 tena mpaka utatokea hadi Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini. Tazama sura |