Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 34:29 - Swahili Revised Union Version

29 Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Hawa ndio watu ambao Mwenyezi Mungu aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Hawa ndio watu ambao bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Hesabu 34:29
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mtamtwaa mkuu mmoja wa kila kabila, ili waigawanye nchi iwe urithi wenu.

Na katika kabila la wana wa Naftali, mkuu, Pedaheli mwana wa Amihudi.

Kisha BWANA akanena na Musa katika nchi tambarare za Moabu, karibu na mto wa Yordani, hapo Yeriko, akamwambia,

Hizi ndizo nchi, ambazo Eleazari kuhani, na Yoshua huyo mwana wa Nuni, pamoja na hao vichwa vya nyumba za mababa ya makabila ya Waisraeli, walizigawanya kwa njia ya kupiga kura, ziwe urithi, huko Shilo mbele ya BWANA, hapo mlangoni mwa hema ya kukutania. Basi hivyo wakamaliza kazi ya kuigawanya hiyo nchi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo