Hesabu 33:39 - Swahili Revised Union Version39 Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia moja ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka mia moja ishirini na tatu (123). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia moja ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori. Tazama sura |