Hesabu 33:11 - Swahili Revised Union Version11 Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapiga kambi katika nyika ya Sini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. Tazama sura |