Hesabu 33:10 - Swahili Revised Union Version10 Wakasafiri kutoka Elimu wakapiga kambi karibu na Bahari ya Shamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. Tazama sura |