Hesabu 32:5 - Swahili Revised Union Version5 Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ng'ambo ya mto Yordani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani. Tazama sura |