Hesabu 32:42 - Swahili Revised Union Version42 Kisha Noba akaenda na kutwaa Kenathi na vijiji vyake, na kuita jina lake Noba, kwa kuandama jina lake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Naye Noba akateka Kenathi na makazi yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Kisha Noba akaenda na kutwaa Kenathi na vijiji vyake, na kuita jina lake Noba, kwa kuandama jina lake mwenyewe. Tazama sura |