Hesabu 32:40 - Swahili Revised Union Version40 Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Kwa hiyo Musa akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Kwa hiyo Musa akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo. Tazama sura |