Hesabu 32:18 - Swahili Revised Union Version18 Sisi hatutarudia nyumba zetu, hata wana wa Israeli watakapokuwa wamekwisha kurithi kila mtu urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hatutarudi nyumbani mwetu hadi kila Mwisraeli apokee urithi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli apokee urithi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Sisi hatutarudia nyumba zetu, hata wana wa Israeli watakapokuwa wamekwisha kurithi kila mtu urithi wake. Tazama sura |