Hesabu 31:9 - Swahili Revised Union Version9 Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe zao wote, na kondoo zao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Waisraeli waliteka nyara: Ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Waisraeli waliteka nyara: Ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Waisraeli waliteka nyara: ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Waisraeli waliwateka wanawake wa Midiani pamoja na watoto wao, na wakachukua makundi ya ng’ombe, kondoo na mali yao kama nyara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Waisraeli waliwateka wanawake wa Kimidiani pamoja na watoto wao na walichukua makundi ya ng’ombe, kondoo na mali zao kama nyara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe wao wote, na kondoo wao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara. Tazama sura |