Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 3:11 - Swahili Revised Union Version

11 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mwenyezi-Mungu akaendelea kumwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mwenyezi-Mungu akaendelea kumwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mwenyezi-Mungu akaendelea kumwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 bwana akamwambia Musa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Tazama sura Nakili




Hesabu 3:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nanyi mtajua ya kuwa mimi nimewaleteeni amri hii, ili agano langu liwe na Lawi, asema BWANA wa majeshi.


Nawe utawaweka Haruni na wanawe, nao wataushika ukuhani wao, na mgeni atakayekaribia atauawa.


Mimi, tazama, nimewateua Walawi na kuwatoa kati ya wana wa Israeli badala ya kila mzaliwa wa kwanza wote wafunguao tumbo katika wana wa Israeli; na hao Walawi watakuwa wangu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo