Hesabu 27:12 - Swahili Revised Union Version12 BWANA akamwambia Musa, Panda wewe juu ya mlima huu wa Abarimu, uitazame nchi niliyowapa wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Panda juu ya Mlima huu wa miinuko ya Abarimu uitazame nchi ambayo nimewapa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Panda juu ya Mlima huu wa miinuko ya Abarimu uitazame nchi ambayo nimewapa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Panda juu ya Mlima huu wa miinuko ya Abarimu uitazame nchi ambayo nimewapa Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, “Kwea mlima huu katika safu za Abarimu uione nchi ninayowapa Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kisha bwana akamwambia Musa, “Panda juu ya mlima huu katika kilele cha Abarimu uione nchi ambayo nimewapa Waisraeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 BWANA akamwambia Musa, Panda wewe juu ya mlima huu wa Abarimu, uitazame nchi niliyowapa wana wa Israeli. Tazama sura |