Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 26:61 - Swahili Revised Union Version

61 Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

61 Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za Mwenyezi Mungu kwa moto usioruhusiwa.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

61 Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za bwana kwa moto usioruhusiwa.)

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

61 Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA.

Tazama sura Nakili

Hesabu 26:61
4 Marejeleo ya Msalaba  

Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.

Kisha Nadabu na Abihu walikufa mbele za BWANA, waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA, katika jangwa la Sinai, nao walikuwa hawana wana; na Eleazari na Ithamari wakafanya kazi ya ukuhani wakati wa uhai wa Haruni baba yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo