Hesabu 26:44 - Swahili Revised Union Version44 Na wana wa Asheri kwa jamaa zao; wa Imna, jamaa ya Waimna; wa Ishvi jamaa ya Waishvi; wa Beria, jamaa ya Waberia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Kabila la Asheri lilikuwa na jamaa za Imna, Ishvi na Beria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Kabila la Asheri lilikuwa na jamaa za Imna, Ishvi na Beria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Kabila la Asheri lilikuwa na jamaa za Imna, Ishvi na Beria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Na wana wa Asheri kwa jamaa zao; wa Imna, jamaa ya Waimna; wa Ishvi jamaa ya Waishvi; wa Beria, jamaa ya Waberia. Tazama sura |