Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 24:5 - Swahili Revised Union Version

5 Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani zako, Ee Israeli!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 “Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani zako, ee Israeli!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 “Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani yako, ee Israeli!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani yako, Ee Israeli!

Tazama sura Nakili




Hesabu 24:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu hawakuwalaki wana wa Israeli kwa chakula na maji, bali walimwajiri Balaamu juu yao ili awalaani; lakini Mungu aliigeuza ile laana kuwa baraka.


Nafsi yangu imezionea shauku nyua za BWANA, Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.


Jumla ya vile vyombo vilivyofanywa kwa ajili ya hiyo maskani, hiyo maskani ya ushuhuda ni hii, kama vilivyohesabiwa, kama maagizo ya Musa yalivyokuwa, kwa ajili ya utumishi wa Walawi kwa mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni, kuhani.


Mpenzi wangu, u mzuri kwa ujumla, Wala ndani yako hamna kasoro.


Mpenzi wangu, u mzuri kama Tirza, Mwenye kupendeza kama Yerusalemu, Wa kutisha kama jeshi lenye bendera.


Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazaliwa wote wa Israeli watakaa katika vibanda;


BWANA atamtenga mtu atendaye hayo, yeye aliye macho, na yeye ajibuye, atamtenga na hema za Yakobo, pia atamtenga yeye amtoleaye BWANA wa majeshi dhabihu.


Hivyo ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwamuru Musa; ndivyo walivyojipanga kufuata bendera zao, na ndivyo walivyosafiri, kila mtu kwa jamaa zao, kwa nyumba za baba zao.


Balaamu akainua macho yake akawaona Israeli wamekaa kabila kwa kabila; Roho ya Mungu ikamjia.


Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho;


Mfano wa bonde zimetandwa, Mfano wa bustani kando ya mto, Mfano wa mishubiri aliyoipanda BWANA, Mfano wa mierezi kando ya maji.


U heri, Israeli. Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA! Ndiye ngao ya msaada wako, Na upanga wa utukufu wako; Na adui zako watajitiisha chini yako, Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.


lakini sikukubali kumsikiliza Balaamu; kwa hiyo akafululiza kuwabariki; basi nikawatoa katika mkono wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo