Hesabu 24:4 - Swahili Revised Union Version4 Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 kauli ya mtu aliyesikia maneno ya Mungu mtu aliyeona maono ya Mungu Mwenye Nguvu, mtu anayesujudu na kuona wazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 kauli ya mtu aliyesikia maneno ya Mungu mtu aliyeona maono ya Mungu Mwenye Nguvu, mtu anayesujudu na kuona wazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 kauli ya mtu aliyesikia maneno ya Mungu mtu aliyeona maono ya Mungu Mwenye Nguvu, mtu anayesujudu na kuona wazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ujumbe wake yeye anayesikia maneno ya Mungu, anayeona maono kutoka kwa Mwenyezi, ambaye husujudu, na macho yake yamefunguka: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi, ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho; Tazama sura |