Hesabu 24:2 - Swahili Revised Union Version2 Balaamu akainua macho yake akawaona Israeli wamekaa kabila kwa kabila; Roho ya Mungu ikamjia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akawa juu yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mwenyezi Mungu akawa juu yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Balaamu akainua macho yake akawaona Israeli wamekaa kabila kwa kabila; Roho ya Mungu ikamjia. Tazama sura |