Hesabu 24:15 - Swahili Revised Union Version15 Akatunga mithali yake akasema, Balaamu mwana wa Beori asema, Yule mtu aliyefumbwa macho asema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, Balaamu akatamka kauli hii: “Kauli yangu mimi Balaamu mwana wa Beori, kauli ya mtu aliyefumbuliwa macho, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, Balaamu akatamka kauli hii: “Kauli yangu mimi Balaamu mwana wa Beori, kauli ya mtu aliyefumbuliwa macho, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, Balaamu akatamka kauli hii: “Kauli yangu mimi Balaamu mwana wa Beori, kauli ya mtu aliyefumbuliwa macho, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kisha Balaamu akatoa ujumbe wake: “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kisha Balaamu akatoa ujumbe wake: “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Akatunga mithali yake akasema, Balaamu mwana wa Beori asema, Yule mtu aliyefumbwa macho asema, Tazama sura |