Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 21:28 - Swahili Revised Union Version

28 Maana, moto umetoka Heshboni, Umekuwa Ari ya Moabu, Mwali wa moto umetoka mji wa Sihoni; Wakuu wa mahali palipoinuka Arnoni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Moto uliwaka kutoka Heshboni, mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. Uliteketeza Ari ya Moabu, raia wa mahali pa Arnoni palipoinuka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Moto uliwaka kutoka Heshboni, mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. Uliteketeza Ari ya Moabu, raiya wa mahali pa Arnoni palipoinuka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Maana, moto umetoka Heshboni, Umekuwa Ari ya Moabu, Mwali wa moto umetoka mji wa Sihoni; Wakuu wa mahali palipoinuka Arnoni.

Tazama sura Nakili




Hesabu 21:28
20 Marejeleo ya Msalaba  

Moto ukawala vijana wao, Wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi,


Kwa hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, atatuma maradhi ya kukondesha kwa wapiganaji walionenepa; na badala ya utukufu wake kutawashwa kuteketea kama kuteketea kwa moto.


Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.


Tena itakuwa, Moabu akionekana, na kujichosha kwa kulia juu ya mahali pa juu, na kuingia katika patakatifu pake aombe, hatapata kushinda.


lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Tiro, nao utayateketeza majumba yake.


lakini nitatuma moto juu ya Temani, nao utayateketeza majumba ya Bosra.


lakini nitawasha moto katika ukuta wa Raba, nao utayateketeza majumba yake; pamoja na kupiga kelele siku ya vita, pamoja na tufani katika siku ya chamchela;


lakini nitatuma moto uingie katika nyumba ya Hazaeli, nao utayateketeza majumba ya Ben-hadadi.


lakini nitatuma moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.


lakini nitatuma moto juu ya Moabu, nao utayateketeza majumba ya Keriothi; na Moabu atakufa pamoja na mshindo, na kelele, na sauti ya tarumbeta;


lakini nitatuma moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu. Hukumu kwa Israeli.


Na materemko ya hizo bonde Kwenye kuteremkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu.


Kwa hiyo, hao wanenao kwa mithali wasema, Njoni Heshboni, Mji wa Sihoni na ujengwe na kuthibitishwa;


Ikawa asubuhi Balaki akamchukua Balaamu, akampandisha hadi Bamoth-baali; na kutoka huko aliweza kuwaona baadhi ya Waisraeli hadi pande zao za mwisho.


Hivi leo ivuke Ari, mpaka wa Moabu;


BWANA akaniambia, Usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.


Huo mti wa miiba ukaiambia miti, Ikiwa kwa kweli mnanitia mafuta niwe mfalme juu yenu, basi njoni mkakae chini ya kivuli changu; la sivyo, na utoke moto katika mti wa miiba na kuiteketeza mierezi ya Lebanoni.


lakini ikiwa basi moto na utoke katika Abimeleki na kuwateketeza watu wa Shekemu, na jamaa ya Milo; kisha moto na utoke katika hao watu wa Shekemu, na katika jamaa ya Milo, na kumteketeza Abimeleki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo