Hesabu 21:27 - Swahili Revised Union Version27 Kwa hiyo, hao wanenao kwa mithali wasema, Njoni Heshboni, Mji wa Sihoni na ujengwe na kuthibitishwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ndiyo maana washairi wetu huimba: “Njoni Heshboni na kujenga. Mji wa Sihoni na ujengwe na kuimarishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ndiyo maana washairi wetu huimba: “Njoni Heshboni na kujenga. Mji wa Sihoni na ujengwe na kuimarishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ndiyo maana washairi wetu huimba: “Njoni Heshboni na kujenga. Mji wa Sihoni na ujengwe na kuimarishwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ndiyo sababu watunga mashairi husema: “Njoo Heshboni na ujengwe tena; mji wa Sihoni na ufanywe upya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ndiyo sababu watunga mashairi husema: “Njoo Heshboni na ujengwe tena; mji wa Sihoni na ufanywe upya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Kwa hiyo, hao wanenao kwa mithali wasema, Njoni Heshboni, Mji wa Sihoni na ujengwe na kuthibitishwa; Tazama sura |