Hesabu 20:9 - Swahili Revised Union Version9 Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za BWANA kama alivyomwamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za Mwenyezi Mungu kama alivyomwagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za bwana kama alivyomwagiza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za BWANA kama alivyomwamuru. Tazama sura |